alunas
Wednesday, 23 February 2011
wht a lucky and talented lady!!! jus lyk her name!!!
jaman jaman kuna wa2 na vipaj vyao! yan gifted vbaya mno! huyu bint nmemaliza nae chuo lakin mpaka 2namaliza we wee nt friends na wala 2likua hatufahamiani kiiivo.. yan kishkaj tu coz we were pursuing d'fernt degree program! bt we com 2b closer baada y akuajiriwa ofc 1 bt d'rent dptmt! so kwa masuala ya foto me! pls kaa chonjo! yan ni mnoma!! and she has a dream of owning a photo point !!!!! na ukija kwenye masuala ya designing pia yuko poa sana!! so kaa mkao wa kula mpenz wa viwalo vya kisasa!!its my prayer ur dream 2 com true my bestito!!!!! kila la kheri!!! jiran na house mate pia! luv u baby!!
Subscribe to:
Posts (Atom)

